PICHA;UTALII WA NDANI-Wanahabari Mkoa wa Njombe Walivyofanya Ziara ya Kitalii Mchuchuma kwenye Makaa ya mawe.
Wandishi wa habari wakiwa katika eneo la Mchuchuma,aliyeshika kaa la jiwe ni Mwandishi wa kituo cha Redio Kings Fm Erasto Paul.
Waandishi
wa habari kutoka Njombe Press Club wametembelea eneo la Mchuchuma
lililopo wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe na kujionea hazina kubwa ya
makaa ya mawe yaliyogundulika wilayani humo
Aidha
imebainika kuwa madini hayo yapo kwa wingi katika wilaya hiyo na
uchimbaji wake unatarajiwa kulinufaisha taifa kwa kuingiza kipato cha
serikali pamoja na wananchi
Angalia Picha hizi:-
Katibu wa Njombe Press Club Khamis Kasapa na Mhasibu wake ambaye ni meneja wa kituo cha Redio Kings Fm Emilia Msafiri wakiwa wameshika Makaa ya mawe .
Mwandishi wa Star Tv Furaha Eliabu.
Mwandishi kutoka Uplands Fm
Mwanahabari Michael Katona anawakilisha Gazeti la Uhuru na Mzalendo
Yalipo sehemu tu ya Makaa ya mawe yanayoonekana juu ya ardhi
Wanahabari wakiendelea kuyaangalia makaa ya mawe
Muonekano wa makaa ya mawe
Mwandishi wa Star Tv Furaha Eliabu aliyeshika mkaa wa jiwe na mwenyekiti wa Njombe Press Club Nickson Mahundi.
PICHA;UTALII WA NDANI-Wanahabari Mkoa wa Njombe Walivyofanya Ziara ya Kitalii Mchuchuma kwenye Makaa ya mawe.
Reviewed by Erasto Paul
on
October 17, 2017
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili