Vituo vya mafuta kuendelea kufungwa



mafu8

Vituo kadhaa vya kuuza  dizeli, petroli na mafuta ya taa vimefungwa jijini hapa kutokana na kutokuwa na mashine za kielektroniki za kutoa risiti (EFDs).
Hatua hiyo inayotekelezwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeelezwa kuwaathiri si tu wenye vituo bali hata watumiaji.
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo amesema leo  Julai 14 na kuongeza kwamba  wanaendelea na kazi hiyo nchi nzima ili kuhakikisha sheria inatekelezwa.

Vituo vya mafuta kuendelea kufungwa Vituo vya mafuta kuendelea kufungwa Reviewed by Erasto Paul on July 14, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.