Alichosema Naibu waziri wa Afya Dkt Khamisi Kingwangala baada ya kuzindua mradi wa jengo la wodi ya wazazi Lupembe -Njombe.
Naibu waziri wa Afya Dkt Khamisi Kingwangala kupitia Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Facebook ameandika na kupongeza Uongozi pamoaj na wananchi wa Lupembe kwa kuthubutu kujenga jengo la wodi ya wazazi
''DAY 7: Njombe. Hapa Lupembe. Tukiwa na Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Mhe. Joram Hongoli, Mb., tumezindua mradi wa jengo la wodi ya wazazi. Wananchi wamejenga boma mpaka kukamilika kwa nguvu zao, Mbunge akatoa bati zote, na halmashauri inamalizia. Huu ni ushirikiano unaokusudiwa na Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM).''
''Sehemu nyingine mtindo huu umekwama; sababu zikiwa ni pamoja na Halmashauri kushindwa kumalizia maboma yaliyojengwa na wananchi hivyo kupelekea wananchi kukata tamaa, sehemu nyingine uongozi kutoweka kipaumbele kwenye sekta ya afya.''

''Mkoa wa Njombe una nafuu kiasi kikubwa kwenye sekta ya Afya kuliko Mkoa wa Ruvuma. Hapa wametekeleza kwa kiasi kikubwa #AgizoLaMwandoya la kuanzisha huduma za upasuaji kwenye vituo vya afya. '''
''Kituo cha #Afya Lupembe kimekarabati jengo ambalo limetosha kuwa theatre, na wamekwishanunua vifaa vya theatre na wako tayari kuanza huduma za upasuaji. Hapa wana Mganga Mkuu wa Wilaya kijana mdogo tu lakini mchapakazi. Amenifurahisha sana; nimewapongeza kwa kazi nzuri na kwa ushirikiano walionao. Sekta ya afya wameishambulia ipasavyo.
HK #ImarishaAfya #StrengtheningHealthSystems #Dr_Kigwangalla #SiasaNiVitendo
''Kituo cha #Afya Lupembe kimekarabati jengo ambalo limetosha kuwa theatre, na wamekwishanunua vifaa vya theatre na wako tayari kuanza huduma za upasuaji. Hapa wana Mganga Mkuu wa Wilaya kijana mdogo tu lakini mchapakazi. Amenifurahisha sana; nimewapongeza kwa kazi nzuri na kwa ushirikiano walionao. Sekta ya afya wameishambulia ipasavyo.
HK #ImarishaAfya #StrengtheningHealthSystems #Dr_Kigwangalla #SiasaNiVitendo
Alichosema Naibu waziri wa Afya Dkt Khamisi Kingwangala baada ya kuzindua mradi wa jengo la wodi ya wazazi Lupembe -Njombe.
Reviewed by Erasto Paul
on
July 18, 2017
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili