s Dar es Salaam. Jukwaa la
Wahariri Tanzania(TEF) leo limevitaka vyombo vya habari nchini
kutokuandika au kutangaza habari zozote zinazomhusisha Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam, Paul Makonda.
TEF
wameyasema hayo leo katika taarifa yao na kulaani vikali kitendo cha
Makonda cha kuvamia kituo cha Utangazaji cha Clouds usiku wa Machi 17 akiwa na
askari wenye silaha.
“Kwa
mantiki hiyo, tunamtangaza Ndugu Paul Makonda kuwa ni Adui wa Uhuru wa Habari,
na yeyote yule atakayeshirikiana naye katika kukandamiza uhuru wa habari
nchini,” ilisema taarifa hiyo ya TEF iliyoandikwa na Mwenyekiti wake, Theophil
Makunga.
TEF yamtangaza Makonda adui wa uhuru wa habari
Reviewed by Erasto Paul
on
March 22, 2017
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili