Video/Picha: 40 ya mtoto wa Diamond yafana

Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.
 


 
 Diamond na familia yake
 
Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya mwanamama Zari na tangu kuzaliwa kwake, hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata siku moja mpaka siku ya arobaini yake.

Tazama baadhi ya picha na video hapa chini jinsi ilivyokuwa 












 

Bongo5.com

Video/Picha: 40 ya mtoto wa Diamond yafana  Video/Picha: 40 ya mtoto wa Diamond yafana Reviewed by Erasto Paul on February 12, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.