VIDEO;Iddi Azzan, Hussein Pamba Kali na bosi wa Sea Cliff watua central polisi.

Aliyekuwa mbunge wa Kinondoni Iddi Azzan, bosi wa Sea Cliff pamoja na watuhumiwa wengine wa sakata la biashara ya Madawa ya kulevya wamefika polisi kituo cha kati kutii wito wa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Pual Makonda.

Watuhumiwa 65 wa biashara ya Madawa ya kulevya katika list hiyo ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam walitakiwa kiripoti leo polisi.

Hata hivyo kati ya watuhumiwa hao, Manji pamoja na Askofu Gwajima waliripotia kituoni hapo jana na taarifa ambazo zilizagaa mitandani walipelekwa kwa mkemia mkuu kupigwa.
VIDEO;Iddi Azzan, Hussein Pamba Kali na bosi wa Sea Cliff watua central polisi. VIDEO;Iddi Azzan, Hussein Pamba Kali na bosi wa Sea Cliff watua central polisi. Reviewed by Erasto Paul on February 10, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.