Haya Ndiyo Anayoyafanya Mbunge Ridhiwani Kikwete Akiwa Nyumbani


ridhiwani

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametupia picha mtandaoni ikimuonesha akiwa nyumba kwake huku akitimiza majukumu yake ya malezi na upendo kwa mwanaye yeye akiwa kama baba mzazi.

Ridhiwani ameonekana akimtengeneza nywele binti yake na kutupia picha hiyoa akisindikiza na maneno haya Instagram

Kwa namna moja ama nyingine jambo hilo ni la kuigwa kwani Ridhiwani kupitia picha maneno aliyoandika amewahimiza baba wengine kuwa karibu na watoto wao na kuwasaidia vitu vidogo vidogo wanavyovihitaji kutoka kwa wazazi wao hasa wa kiume ili kuhakikisha wanakuwa katika malezi yaliyo bora na wafikie malengo yao.

@home attending Fatherhood duty while watching H.E Donald Tridhiwani
Tupia Comment Yako, Matusi Hapana
Haya Ndiyo Anayoyafanya Mbunge Ridhiwani Kikwete Akiwa Nyumbani Haya Ndiyo Anayoyafanya Mbunge Ridhiwani Kikwete Akiwa Nyumbani Reviewed by Erasto Paul on January 24, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.