…Wakisali sala mara baada ya kupokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu.
Fr. Melkades Mogella akipokea pete na kuzibaliki kwa ajili ya wanandoa hao kuvishana.
Moja ya vitukuu vya wanandoa hao akiwapongeza wazee.
Vikongwe Wafanya Ibada Kusherehekea Miaka 60 ya Ndoa Yao
Reviewed by Erasto Paul
on
December 02, 2016
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili