Hatimaye Mohammed Hussein amalizana na klabu ya Simba SC

Mchezaji wa klabu ya Simba SC ambaye anacheza nafasi ya beki wa pembeni Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ hatiamye amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na nusu katika klabu ya Simba ambao utamalizika mwaka 2019.

Hapa chini Mchezaji Mohammed Hussein akisaini mkataba mpya akiwa na Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva
mohamedytshabalala-2
Hatimaye Mohammed Hussein amalizana na klabu ya Simba SC  Hatimaye Mohammed Hussein amalizana na klabu ya Simba SC Reviewed by Erasto Paul on November 25, 2016 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.