Viwango vya ubora wa Soka duniani vilivyotolewa na FIFA, Tanzania
imeshuka kwa nafasi 16, kutoka nafasi ya 144 na sasa inashika nafasi ya
160.

Katika bara la Afrika, Tanzania inakamata nafasi ya 48 huku Argentina ikiendelea kuongoza katika viwango hivyo kwa Dunia.
Katika bara la Afrika, Tanzania inakamata nafasi ya 48 huku Argentina ikiendelea kuongoza katika viwango hivyo kwa Dunia.
Tanzania ya poromoka katika viwango vya soka duniani
Reviewed by Erasto Paul
on
November 25, 2016
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili