PICHA;Wanahabari Njombe waungana na Familia ya Marehemu Deo Filikunjombe katika Kumbukizi ya Miaka Miwili.

Jana Oktoba 15 imetimia miaka miwili Tangu aliyekuwa Mbunge wa Ludewa marehemu Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya Helkopta

Waandishi wa habari kutoka chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe (NPC) ni miongoni mwa waliofika kwenye kaburi la Marehemu Deo na kuungana na familia ya Marehemu kufanya sala

Ikumbukwe enzi za uhai wake marehemu Deo Filikunjombe alikuwa mlezi wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe

Hapa chini nimekuwekea picha za tukio hilo:-




Makamu Mhasibu Ibrahim Mlele pamoja na Mhasibu wa Njombe Press Club Emilia Msafiri ambaye ni Meneja wa Kings Fm Radio.

Mratibu wa Njombe Press Club Graceanna Damiano na Makamu Mhasibu Ibrahim Mlele.
 Mdogo wa marehemu Deo Filikunjombe Dkt Philipo Filikunjombe (kulia) akiwa kwenye kaburi la kaka yake







 Sehemu ya waandishi wa habari kutoka Njombe Press Club wakiwa na ndugu na jamaa wa familia ya aliyewahi kuwa mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kusali katika kaburi la mbunge huyo

Kutoka Kushoto ni Katibu wa Njombe Press Club Hamisi Kasapa,Mwanafamilia Dokta Philipo Filikunjombe pamoja na Mwenyekiti wa Njombe Press Clun Nickson Mahundi wakiteta jambo
Wanahabari katika picha ya pamoja.


PICHA;Wanahabari Njombe waungana na Familia ya Marehemu Deo Filikunjombe katika Kumbukizi ya Miaka Miwili. PICHA;Wanahabari Njombe waungana na Familia ya Marehemu Deo Filikunjombe katika Kumbukizi ya Miaka Miwili. Reviewed by Erasto Paul on October 16, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.