Ajira Mpya za walimu Serikalini.

http://www.jobsinpunjab.in/wp-content/uploads/2017/09/teaching-jobs-photo.jpg
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza ajira za walimu wa shule za msingi kwa walimu ambao wamemaliza masomo yao mwaka 2014/2015 katika ngazi ya cheti (III A).

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kuthibitishwa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas imesema kuwa walimu ambao wamemaliza mwaka 2014/2015 na walituma maombi yao kwenye tangazo la kazi ya Agust 10, 2017 hawatakiwa kuomba upya kwani barua zao zinafanyiwa kazi.











 
Ajira Mpya za walimu Serikalini. Ajira Mpya za walimu Serikalini. Reviewed by Erasto Paul on September 20, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.