Rais John
Magufuli, amesema ataendelea kuwatetea Watanzania maskini na wenye kipato cha
chini kwa sababu hata yeye ameishi maisha duni.
Magufuli
ameyasema hayo leo Jumatatu, Julai 10 wilayani Chato wakati wa uzinduzi wa
nyumba 50 zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation.
“Nimeuza
maziwa, nimeuza furu, nimechunga ng’ombe. Sitaki nisahahu nilipotoka, sitaki
nisahau maisha ya Watanzania, sitaki Watanzania wenye maisha ya chini waonewe,”
amesema.
PM: Naujua umaskini, nimeuza maziwa na furu.
Reviewed by Erasto Paul
on
July 10, 2017
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili