Nyota wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Thegreatest’
anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza kutoka kwa mpenzi wake ambaye pia
ni msanii wa filamu, Chuchu Hans.
Ray akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans
Muigizaji huyo amedai mahusiano yao yamepitia vikwazo vingi mpaka kufikia hatua waliyofikia sasa.
“Kwanza kabisa napenda kumrudishia sifa na utukufu mungu baba muumba wa mbingu na ardhi tumepitia vingi vikwazo lakini yeye atutiaye nguvu aliendelea kusimama na sisi imara asante sana mungu kwa kuwa mwema kwetu mengi yalisemwa juu yetu lakini mungu baba umejibu ulikuwa mwezi mmoja kama utani vile hatimaye imefika miezi tisa na sasa kubaki siku chache nakuombea my lovely mzungu, Mungu akufanyie wepesi,” aliandika muigizaji huyo kupitia instagram.
Muigizaji huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kuzungumzia ishu ya mahusiano yake na Chuchu Hans.

Wapenzi Kigosi na Chuchu Hans Kupata mtoto wa kwanza hivi karibuni.
Reviewed by Erasto Paul
on
January 15, 2017
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili