Mzee Athuman Mchambua (76),mkazi wa Mtoni Mtongani,jijini Dar ambaye
ameweka tangazo nyumbani kwake la kutafuta mke, ameongeza sharti jipya
kwa mke anayemuhitaji.

Amesema amekuwa akipokea simu nyingi kutoka maeneo mbalimbali nchini, lakini amewataka wanawake ambao atawafanyia usaili, hasa kwa yule ambaye atakuwa ameshinda, kutobweteka kwani atakuwa katika kipindi cha mpito cha ndoa yake.
Alivitaja vigezo sita muhimu vya mwanamke anayemuhitaji kuwa ni awe mcha Mungu na mwenye kutunza watoto wake.
“Vigezo vingine awe na sifa ya ndoa, awe na sifa ya mume, awe na sifa ya kilimo, awe na sifa ya kutunza watoto na awe na sifa ya usafi wa hali ya juu.

Mzee aliyeweka tangazo la kutafuta mke aongeza sharti jipya
Reviewed by Erasto Paul
on
December 08, 2016
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili