Diamond na Zari wamtamanisha Vera Sidika kupata mtoto

Kuna uwezekano mkubwa hamu ya Vera Sidika kutamani mtoto imekuja baada ya kumuona mtoto wa pili wa Zari aliyejifungua Jumanne hii.
 http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/12/14561808_2162007560690929_5698847304534982656_n.jpg
Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo wa Kenya ameandika ujumbe wa kumpongeza Zari na kuongeza kuwa inawezekana yeye ndio akafuata.

“Congratulations on your bundle of Joy @zarithebossladyHappy For you doll You just raised my baby fever from 50 to 100  sigh!!! Maybe I’m Next ,” ameandika Vera kwenye mtandao huo.
Diamond na Zari wamtamanisha Vera Sidika kupata mtoto Diamond na Zari wamtamanisha Vera Sidika kupata mtoto Reviewed by Erasto Paul on December 08, 2016 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.