Pichaz: UZINDUZI WA ALBAMU YA HAKUNA MATATA-DK TUMAINI MSOWOYA


Askofu Mstaafu wa KKKT-Iringa....Owdenburg Mdegela, Askofu Msaidizi Himidi Sanga na Mh Ritha Kabati....wakiwa wameshikilia box lenye CD...
Dada Mwasongwe akitoa Mkono wa Hongera baada ya kuahidi kuchangia CD..

 Tumaini Mbembela, Ritha Komba na Witness Mbise wakimtukuza Mungu ukumbini
Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Abdalah akizungumza Ukumbini
 Mwimbaji wa Muziki wa Injili, Christopher Mwahangila alikuwepo
 Jina la Bwana Libarikiwe
 Waimbaji mbalimbali walikuwepo kumsifu Bwana Pamoja

 Wanahabari wenzangu walikuwepo
 Ritha Komba akimsifu Bwana

Bahati Simwiche alikuwepo kumsifu Bwana
 Mh Kasesela na Mh Msigwa wakiamkiana mara baada ya kufika ukumbini

 Tumaini Mbembela alikuwapo kumsifu Bwana kwa matendo yake Makuu
 Christopher Mwahangila akimwimbia Mungu wakati wa uzinduzi wa albamu ya Hakuna Matata
 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mh Kasesela Tumaini Msowoya na Mh Msigwa...

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa akiwa na mtoto Conscious.
 Mbunge wa Viti Maalum, Mh Ritha Kabati....alikuwapo pamoja nami kumsify Mungu
DC KASESELA-MKUU WA WILAYA YA IRINGA AKIHUTUBIA
 Dada yangu, Mwenyekiti wa UWT Manispaa ya Iringa..Ashura Jongo
 Mama Chiku Masanja, katibu wa UWT Mkoa wa Iringa
 Diwani wa Viti Maalum Iringa, Mama Dora Nziku

Lovey mama Tumaini, Mkuu wa Wilaya ya Tumaini mwenyewe
Dk Wemael Shamchama alikuwapo pamppja nasi
 Mama Tumaini, Daines Magula, mdogo wake Efrosina Kaduma, Tumaini na Mkuu wa Wilaya ya Iringa
Kwaya ya Muhimidini tulisifu na kumuimbia Mungu pamoja
Kwaya ya Nuru ilikuwepo
Dada yangu, Mama Efrasia alikuwapo
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Uzinduzi-MC Kaka Mtumishi Laxon Luwema
Pichaz: UZINDUZI WA ALBAMU YA HAKUNA MATATA-DK TUMAINI MSOWOYA Pichaz: UZINDUZI WA ALBAMU YA HAKUNA MATATA-DK TUMAINI MSOWOYA Reviewed by Erasto Paul on November 06, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.