Nyayo za miguu kubwa kuliko zote za mnyama dinosaur zaonekana

Nyayo za miguu kubwa zaidi duniani za mnyama dinosaur zimegundulika huko kaskazini magharibi mwa Australia, zikiwa na urefu wa karibu futi 5 na inchi 9 (mita 1.75).

Nyayo hizo ni za mnyama huyo aliyekuwa na shingo ndefu. Imepita rekodi iliyokuwepo awali ya nyayo za mita 1.15 zilizopatikana mwezi July nchini Bolivia.
Nyayo za miguu kubwa kuliko zote za mnyama dinosaur zaonekana  Nyayo za miguu kubwa kuliko zote za mnyama dinosaur zaonekana Reviewed by Erasto Paul on March 28, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.