Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo
wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video
hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo.
New Video: Diamond Platnumz f/ Ne-Yo – Marry You
Reviewed by Erasto Paul
on
February 03, 2017
Rating: 5
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili