Manji Anapandishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya.

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, leo anapandishwa mahakamani akituhumiwa kutumia dawa za kulevya.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amedai kuwa vipimo vya mkemia mkuu vimeonesha kuwa mfanyabiashara huyo ni mtumiaji wa dawa hizo. Awali Manji alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Muhimbili baada ya kupata matatizo ya moyo.

Sikiliza hapo juu mahojiano kati yake na mtangazaji wa kipindi cha E-Sports, Maulid Kitenge.
Manji Anapandishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Manji Anapandishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Reviewed by Erasto Paul on February 16, 2017 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.