Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata ajali ambaya siku ya
sikukuu ya Christmas na kulazwa katika Muhimbili, ameruhusiwa na sasa
hivi yupo nyumbani.
Mchekeshaji huyo amedai licha ya kuwa ameruhusiwa kutoka hospital lakini bado afya yake haijakaa sawa na anahitaji maombi.
“Bado nahitaji maombi yenu wadau,” aliandika Ben Instagram “nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado,”
Hili ni gari ambalo alipata nayo ajali Ndugu na marafiki wakimtembelea kumtakia hali

Nahitaji maombi yenu wadau, nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado – Ben Selengo
Reviewed by Erasto Paul
on
January 03, 2017
Rating:
No comments:
Thank you for commenting to Mwanauswahili