Zari amejifungua? Diamond aandika ujumbe huu instagram akielekea SA akiwa na Mama yake

Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa ameandika ujumbe ambao unaonyesha huwenda mpenzi wake Zari amejifungua.
zr
Mapema mwezi uliopita katika hatua za kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, Zari alifanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.
Jumapili hii Diamond akiwa safarini na mama yake kwenda Afrika Kusini, ameandika :

Na mama Chibu D Chibu De … flying to our new Second home, South africa For my New Born… #MiniMe #ChibuJunior #YoungSimba #YoungLion Ungependa nimpe jinangani eti?
Kama Zari amejifungua basi huyo ni mtoto wake wa pili na Diamond. Pia atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.
Zari amejifungua? Diamond aandika ujumbe huu instagram akielekea SA akiwa na Mama yake Zari amejifungua? Diamond aandika ujumbe huu instagram akielekea SA akiwa na Mama yake Reviewed by Erasto Paul on December 05, 2016 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.