Picha za utata za Akothee zawatoa udenda mashabiki

Akothee aka Madam Boss ameonyesha na yeye si wa mchezo mchezo bado anaweza kushindana na wasichana ‘vigori’.
14582463_200056493731494_8206851112951611392_n
Muimbaji huyo wa Kenya amewachanganya mashabiki kwa kuwatoa udenda kutokana na picha alizozipost kwenye mtandao wake wa Instagram huku sehemu kubwa ya mwili wake ikionekana.
15306622_207205366400617_5522997238764142592_n
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye mtandao huo.
loreenomolo
Eiiish madam Boss kuja Pole Pole
gody_goodiee
Waaaaaaaaaaaahhh she got a bright past..
denicekirui
Mmmm I know to handle stolen goods
tablazecaits
Daaamn lukin sxy
simonbokar
Woohh nice black booty
Picha za utata za Akothee zawatoa udenda mashabiki  Picha za utata za Akothee zawatoa udenda mashabiki Reviewed by Erasto Paul on December 02, 2016 Rating: 5

No comments:

Thank you for commenting to Mwanauswahili

Powered by Blogger.